Download: Jeshi la polisi wayafunga madanguro Mwananyamala.

By ITV TANZANIA

40,263

TIP: Right-click and select "Save link as.." to download video

Initializing link download... Initializing link download.....

Jeshi la polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni jijini Dar es salaam limeyafunga madanguro yaliyopo Mwananyamala na kuwakamata Akinadada 35 waliokuwa wakiuza miili yao pamoja na mama wa miaka 72 ambae anadaiwa kuwa ndie mmiliki wa madanguro hayo.