Download: News : Ufuska wa wafungwa

By KTN News Kenya

68,198

TIP: Right-click and select "Save link as.." to download video

Initializing link download... Initializing link download.....

Nafsi ya binadamu yoyote ile imeumbwa na matamanio, na ndivyo ilivyo kwa ndugu zetu wanaotumikia vifungo wakiwa gerezani. Lakini umeshawahi kujiuliza wafungwa hukidhi vipi matamanio yao ya kimwili? Kwa wakati mmoja aliyekuwa Makamu wa Rais Moody Awori alionekana kushughulikia ndugu zetu walio gerezani kwa kuleta mabadiliko makuu, na hata kuruhusu kuwe na siku nzima ya wafungwa hao kutangamana na jamaa zao lakini baadala ya kuleta furaha siku hii pia huleta majonzi tele pindi familia hiyo inapoondoka na kuwaacha wafungwa hao wakisalia gerezani. Mtaniwia radhi wakubwa wangu kwani jamaa hawa wanashinikizwa kutekeleza vitendo visivyo vya kawaida kuiwisha nafsi yao .Je wakati umefika kwa marekebisho zaidi kufanyika ?

Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv